Monday, 5 October 2015

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA TAMASHA LA AMANI

Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Markana Marwa, akimkabidhi tuzo ya Rais, mke wa Rais, Mama Salma Kikwete (kushoto) wakati akizindua Tamasha la Amani kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. 

  Mke wa rais, Salma Kikwete akizindua Albamu ya Nyimbo za Injili za Mwimbaji Boni Mwaitege wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Amani lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama.
 Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakifuatilia hotuba mbalimbali wakati wa ufunguzi wa tamasha la Amani.
 Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakifuatilia hotuba mbalimbali wakati wa ufunguzi wa tamasha la Amani.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!