Mobetto ambaye amezaa na Dj mkongwe nchini, Majay amepost picha za mtoto huyo Instagram na kuandika;
“Happy six month my little mermaid I love you Mwanangu #GodWin @Misfansy @Misfansy
#cutekidsclub”.
Kwenye picha nyingine ameandika; “Mapozi sasa bint Majey
@misfansy @misfansy My mermaid”.
1 comment:
aziz bilal07:24
1
Reply
Huyu little mammed ni princes wa kweli kweli,kapendeza sana nimempenda.
Post a Comment