Msanii Diamond Platnumz, ameshinda tuzo 3 katika tuzo za AFRIMMA nchini Marekani, ndiye mwanamuziki aliyeshinda tuzo nyingi katika hafla hiyo
-Tuzo alizoshinda ni;
-Best Male East Africa
-Best dance in a video- nana ft. Mr. Flavour
-Artist of the year
-Best dance in a video- nana ft. Mr. Flavour
-Artist of the year
HONGERA DIAMOND KWA KUTUPAISHA WATANZANIA!
No comments:
Post a Comment