Monday, 12 October 2015

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR LATEKETEZA KONTENA TANO ZA BIDHAA ZILIZOHARIBIKA.

1
Vijana wakitoa bidhaa zilizoharibika kwenye Kontena tayari kwa kwenda kuteketezwa.


23
Vijana wakimwaga sukari iliyoharibika katika eneo la mashimo ya kifusi Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
4
Tigatinga  likiharibu pipi zilizo haribika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati.
5
Mkuu wa usalama wa chakula Bodi ya chakula, dawa na vipodozi Zanzibar Nadir Khatib Hassan akitoa ufafanuzi wa bidhaa hizo kwa wandishi wa habari huko Kibele zilipo teketezwa.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!