Corner garden; Badala ya kupanda maua shagalabagala" unaweza kufanya kama hivi,ukajengea ukingo pembeni ili kuleta nafasi na pia kuyapa nafasi majani yaonekane vizuri na kustawi vizuri, kuna saa nyingine ukipanda maua bila mpangilio mzuri bustani yako inapoteza mvuto na kuwa kama kakichaka "flani amazing"
Haya maua yamepandwa kwenye makopo, jinsi alivoyaweka, yamefanya mchanganyiko wa rangi,mzuri ya kuvutia!
UBUNIFU!
1 comment:
Dora Sydney
Naomba kuuliza, maua km hayo hp Dar es Saalam yanapatikana wapi?
Post a Comment