Tuesday, 18 August 2015

MAHAFALI DARASA LA SABA SHULE YA ST.MARYS MBEYA

Wanafunzi wa shule ya Kimataifa ya St.Marrys Forest jijini Mbeya wakitoa burudani katika mahafali ya Darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mbeya .Picha Jamiimojablog

Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Marrys Forest Jijini Mbeya

Wazazi na walezi

Uongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo.

Wahitimu waliofanya vizuri katika masomo yao wakipatiwa zawadi nauongozi wa shule hiyo.

Wazazi wakitoa pongezi zao kwa watoto wao ambao wamehitimu elimu ya msingi darasa la saba katika shule hiyo ya kimataifa ya St.Marys Forest jijini Mbeya

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!