Staa wa Bongo Fleva ambaye jina lake limebeba uzito mkubwa Afrika, Diamond Platnumzanayo furaha kushare na sisi hii good news… Post yake Instagram inasomeka hivi >>> ‘My mom’s face it’s enough to Express how i feell… Welcome to the world@princess_tiffah >>> Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najiskia ndani ya Moyo wangu… karibu kwenye ulimwengu@princess_tiffah‘ >>>> @diamondplatnumz
No comments:
Post a Comment