Tuesday, 25 August 2015

BAADA YA KUPANDA DALADALA JANA LEO MGOMBEA URAIS MH: EDWARD LOWASSA LEO ATEMBELEA SOKONI TANDALE


Mh Edward Ngoyai Lowassa na mgombea mwenza, Juma Duni wakiwa katika Soko la Tandale asubuhi ya leo kuzungumza na watanzania wa kipato cha chini ili kuyaelewa matatizo yao



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!