Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Mafunzo ya Ufundi-National Council for Technical Education (NACTE) wameandaa mtaala kwa ajili ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii.
Kozi hii itamuandaa mhudumu wa afya ambaye atakuwa na ujuzi kazi katika maeneo makuu matatu (Mhudumu wa afya ngazi ya jamii, mhudumu afya katika vituo vya afya na muhudumu wa ustawi wa Jamii.
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inawatangazia watu wote wanaopenda kujiunga na kozi hii watume maombi yao ili wajiunge na kozi hii kwa mwaka wa masomo 2015/2016.
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inawatangazia watu wote wanaopenda kujiunga na kozi hii watume maombi yao ili wajiunge na kozi hii kwa mwaka wa masomo 2015/2016.
FOR MORE INFO CLICK HERE
No comments:
Post a Comment