Mtoto wa mfalme nchini Saudi Alwaleed bin Talal ameugawa utajiri wake wote kwa kuchangia watu wasiojiweza.Utajiri wake una kiasi cha dolla bilioni 20 akionesha utofauti na watoto wengine wote wa mfalme huyo.
Mwaka jana aliwabeba waandishi wa habari kwenye ndege yake binafsi kwenda kuhesabu utajiri huo.Yeye na Mke wake Ameera wamekuwa wakiishi kwenye nyumba ya vyumba 420.
No comments:
Post a Comment