Sunday, 26 July 2015

HALI YA HEWA NYUMBANI KWANGU ASUBUHI YA LEO


Mwenzenu hakuna kitu napenda kama mvua, yaani naona raha kama hivyo inavyomwagika mie roho yangu burdani! na bustani yangu ya maua na mbogambaga ndio inazidi kushamiri raha tupu yaani!!


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!