Monday, 27 July 2015

AJALI: BASI LA ABIRIA LA GONGANA NA TREIN YA MIZIGO MKOANI TABORA.



Ajali mbaya imetokea ikihusisha treni na basi la abiria.Ajali hiyo imetokea eneo la Mororo,Tabora. Inasemekana watu watano wamepoteza maisha kwenye eneo la tukio.



Imetokea mkoani Tabora barabara ya kwenda Urambo umbali wa kilomita kama kumi hivi kutoka Manispaa, baada ya gari la abiria kugongana na treni la mizigo kwenye Railway crossing, watu waliofariki bado hajafahamika idadi yao kamili waliotambuliwa ni wawili mmoja kwa majina ni Samweli mkazi wa kata ya Ufuruma wilayani Uyui na Mwingine ni Issa, taarifa hizi zimetolewa nusunusu na kituo cha radio VOT hapa Tabora.
                                                                    Chanzo JamiiForums

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!