Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Naibu Meya wa Postdam Bibi Elona Muller wakati alipotembelea Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam mjini Berlin akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Nchini Ujerumani nao ambapo Skuli hiyo inaushirikiano na Mwanakwerekwe Skuli ya Zanzibar.
[Picha zote na Ramadhan Othman,]
Wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam walipomkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Mjini Berlin Nchini Ujerumani mara walipotembelea skulini hapo ambapo Skuli hiyo inaushirikiano na Mwanakwerekwe Skuli ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment