Sunday, 3 May 2015

HAYAKUHUSU! WAPO WANAOMUELEWA WEMA, SHABIKI ATOA LAKE LA MOYONI KUHUSU WEMA

 
nanukuu kutoka kwa shabiki mtaa wa pili unajuwa watu mnaongea mengi bila ya kufikiria vizuri kama kila mtu na bahati yake.



ktk mapenzi kuna mambo mengi sana alikuwa ndani ya mahusino ndio anaelewa VIZURI ninawezakana wema alijaribu sana tumia hiyo fursa lk aikwezekana jamani sio kama ameshindwa MBONA MADAME RITA ALIKUWA NA MENGI LK AKUOLEWA KWANI ALIKUWA ATAKI LK SIO BAHATI yake.tuseme jambo moja diamond ajampenda wema 100% labda 50% (ssa zari alikuwa na nguvu moja nitakupa mtoto lk fata mashariti yang) lk wema ameona kila anachojaribu kwa mwenzie akifanyia kazi ssa sio fursa wajemeni ni bahati tu.na zari kama ngekuwa mke bora mbona ameondoka kwa ivan? mke bora anavumilia kila kitu kwa mume wake kama dini zinavyosema.mara gani wema amejaribu kwa diamondo lk hakuna kitu.ok wema kashindwa peny je na jojo nae wote hakuna ata mwenye akili sio hivi kwenye mapenzi kuna siri nyingi na huyo zari ana yake kibao subiri tu

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!