Wednesday 6 May 2015



Timu ya Manchester City inajiandaa kutoa kitita cha paundi za kingereza 15 milioni kwa ajili ya kumchukua Mlinzi wa kushoto wa Tottenham hotspurs Danny Rose, kutoka Daily Star.





City wanajipanga kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chao hasa baada ya kufeli kutetea ubingwa wao wa Barclays Premier league uliochukuliwa na Chelsea msimu huu, na Rose anaonekana atakuwa moja ya suluhisho kwa ajili ya kuleta ushindani dhidi ya Gael Clichy.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!