
Miili ya Wanajeshi waliofariki Congo imeagwa rasmi Congo tayari kurudishwa Nyumbani kwa ajili ya shughuli za mazishi.
-Askari hawa waliuawa baada ya kufanyiwa shambulio na kikundi cha waasi cha ADF-NALU

Askari wa Jeshi la Tanzania wakiaga miili ya askari waliofariki huko DRC.


Chanzo:IPP Media













No comments:
Post a Comment