Saturday, 9 May 2015
HAYAKUHUSU: ALINYENILIPIA MIL13 HAJAWAHI KUNIDAI-KAJALA
Wengi wanaomfahamu mwigizaji Kajala wanajua kwamba staa huyu aliwahi kuwa kwenye mikono ya sheria mpaka Jela na alilipiwa shilingi Milioni 13 kama dhamana March 25 2013 ili aponee kwenda jela, pesa ambazo zilitolewa na mwigizaji Wema Sepetu ambaye alikua rafiki yake mkubwa.kumekuwa na gumzo kubwa kuhusu Kajala kurudisha pesa hizo, lakini kwa kauli ya Kajala mwenyewe adai Wema hajawai kumdai hizo pesa, bali ni maneno ya watu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment