Thursday, 19 March 2015

Picha,Familia ya Chameleone kanisani wakati anaagwa mdogo wake Emmanuel Mayanja Hummertone ‘Ak47′.

Msanii Jose Chameleone  na familia ya Mayanja wakiwa kwenye kanisa la Lweza Catholic Cathedral kwenye misa ya kumuada mdogo wao ambaye alikuwa msanii pia Akay47 [  Emmanuel Mayanja Hummertone ] aliyefariki usikuwa wa March 16 huko Uganda akiwa kwenye bar ya Rhyno alipokwenda kutangaza wimbo wake mpya.

akay45 2 
akay45 3 akay45 4 akay45 6 akay45 8 akay45 9 akay45 10 akay45 Mr mrs mayanja
Na Sammisago.com
Picha na New Vision.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!