skip to main |
skip to sidebar
ASUBUHI YA LEO NIMEAIANZA NA MCHANGANYIKO WA NANASI NA NDIZI, NI KINYWAJI MUHIMU KWA MWILI WAKO NA PIA KINALADHA NZURI
Ni kinywaji chenye virutubisho muhimu mwilini, kama inavyofahamika matunda kama nanasi ni tajiri wa Vitamin C na pia kinywaji hiki kinasemekana kinauwezo wa kupunguza "depression".
No comments:
Post a Comment