Mchezaji wa Tumaini meda akijaribu kumpita mchezaji wa Wizara ya Habari wakati wa mechi iliyofanyika jana katika viwanja vya TCC Changombe, Tumaini Media iliibuka kwa Ushindi wa magoli 6 kwa 0.
Wachezaji wa Tumaini Media
wakishangilia goli baada ya kuifunga timu ya Wizara ya Habari wakati wa mechi
iliyofanyika jana katika viwanja vya TCC Changombe jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment