Mwanza ilianzishwa na Wajerumani wakati wa ukoloni wa Afrika chini ya ukoloni wa mjerumani
Koloni iliteuliwa kutokana na kuwa na Bandari asilia upande wa kusini mwa ziwa Victoria.
Wajerumani waliuita mji huu kwa jina la Muansa, ikiwa ni matamshi yao ya jina la Nyanza.
Mkoa wa Mwanza ni kati ya mikoa 30 ya Tanzania. Umepakana na Geita upande wa magharibi, Shinyanga naSimiu upande wa kusini na Mara upande wa mashariki. Ziwa la Viktoria Nyanza liko kaskazini.
Makao makuu ya mkoa yapo Mwanza mjini.
Mwanza: Boma la Kijerumani mnamo 1912
Wajerumani Walijenga boma kubwa iliyoendelea kitovu cha mji. Takwimu ya Kijerumani ya 1912 ilihesabu wazungu 85, Wagoa 15, Wahindi wengine 300 na Waarabu 70 lakini haikutaja wakazi Waafrika. Palikuwa na makampuni ya biashara 12 ya kizungu na 50 ya Wahindi..
Bismark rocks ni kivutio kingine kikubwa katika jiji la Mwanza.
Kabila kubwa katika jiji la Mwanza ni Wasukuma,lakini pia kuna kabila lingine la wakerewe .
Kutokana na kukua kwa Biashara katika jiji la Mwanza makabila kama ya wahaya na wakurya na mengineyo ni maarufu jijini humo.
Wilaya ya Ilemela: Bugogwa • Buhongwa • Buswelu • Butimba (Ilemela) • Igoma • Ilemela • Mkolani • Nyakato • Pasiansi•Sangabuye
Wilaya ya Nyamagana: Igogo • Isamilo • Kirumba • Kitangiri • Mbugani • Mirongo • Mkuyuni • Nyamagana • Nyamanoro •Pamba
St.Augustine University of Tanzania-Mwanza, ni moja ya vyuo vikuu Mwanza.
Catholic University of Health and Allied Science-Bugando Mwanza
Malaika Beach
Kutoka ziwa Victoria kuelekea kilima cha karibu na eneo la kandokando ya kivuko cha kamanga.
Uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza.
Mwanza mjini.
Ona mji ulivyomsafi!
Jiografia kutoka kiunga cha Nera hadi Mwaloni jijini Mwanza.
Nyakahoja na barabara ya Balewa
Muonekano wa Jiji la Mwanza na ziwa Victoria.
No comments:
Post a Comment