Friday 20 March 2015

BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI

Abiria wapatao 65 wamenusurika kifo baada ya dereva wa Bus la Nganga Express linalo fanya safari yake Mbeya - Dar, baada ya kulikwepa Lori uso kwa
uso na kulitosa kwenye mtaro ilikoa roho za abiria wa Bus hilo.Majeruhi wa5 wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mbeya.
Ajari imetokea Mbeya kijiji cha Lilongo asbh hii majira ya 12.48.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!