Monday 16 March 2015

AJALI:HELKOPTA YADONDOKA WANNE WAPOTEZA MAISHA JIJINI DSM

 Sehemu ya mabaki ya Helikopta baada ya kuanguka Ajali ya Helicopter ambayo imedaiwa kuwa ni mali ya Maliasili na Utalii imegharimu maisha ya marubani 3 wa Jeshi la Polisi Tanzania. Sp Kidai Kaluse, Insp.Simba Must Simba, Pc. Josso Selestine, Na rubani mmoja Capt. Khalfan,Ajali  hiyo imetokea huko Kipunguni B Moshi Bar,Ukonga-Ilala jijini Dar es Salaam. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana mpaka 
sasa. 


 Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova 

akifafanua jambo mbele ya Vyombo vya habari katika eneo la ajali,kufuatia kutokea kwa ajali hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaa,Mh.Sadick Meck Sadick akizungumza mbele ya Vyombo vya habari katika eneo la ajali,kufuatia kutokea kwa ajali hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne
 Baadhi ya Wataalamu wakifanya uchunguzi wa chanzo cha ajali hiyo ya Helikopta.
 Baadhi ya watu wakishuhudia mabaki ya helikopta hiyo iliyopata ajali maeneo ya Kipunguni B Moshi Bar,Ilala jijini Dar es Salaam

1 comment:

Anonymous said...



Deus Kessy17 mars 2015




r i p

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!