Ivan Ssemwanga,aliyekuwa mume wa Zari the bosslady na aliyezaa naye watoto watatu ameanza kurusha mashambulizi.
Kuanzia kulia;King Lawrence,Ivan Ssemwanga na Wema Sepetu
Mfanyabisahara huyoo mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini huwenda akalipiza kisasi kwa Diamond anayetarajia kupata mtoto wake wa kwanza kutoka kwa Zari kwa mbinu ya Jino kwa Jino ama zile za 'kama noma basi na iwe noma'
Picha liko hivi, Wema Sepetu kumbe yuko nchini Afrika Kusini ambako hata hivyo hatufahamu ameenda kufanya nini.Mshikaji wa karibu wa Ivan,King Lawrence(yule mchizi aliyempa ofa Diamond ya $40,000 ili aachane na Zari) ameshare picha kwenye mtandao wa Instagram akila bata na Wema huku Ivan akiwepo pia
No comments:
Post a Comment