Mwanamama akiwa na mzigo wa kuni kichani akirejea nyumbani kutoka kunako kusaka kuni kwa ajili ya kupikia moja ya vijiji vya Wilaya ya Ilala.
Mtoto mgongoni na mzigo wa kuni kichwani. Mwanamama akiwa na mzigo wa kuni kichani akirejea nyumbani kutoka kunako kusaka kuni kwa ajili ya kupikia moja ya vijiji vya Wilaya ya Ilala.
Hakuna cha baba wala mama wote mzigo kichwani. Baba na mama wakiwa na mizigo kutoka shambani kuelekea nyumbani kijijini Luchingu.
Mama akiwa na wanawe huku akiwa amebeba mzigo wa kuni kichwani kwa ajili ya kupikia chakula nyumbani.
Mama akiwa na wanawe huku akiwa amebeba mzigo wa kuni kichwani kwa ajili ya kupikia chakula nyumbani.
Bidhaa ya maji ni hadimu sana iwe vijijini na hata mjini katika Wilaya ya Newala. Pichani mwanamke akiwa na madumu manne akielekea kusaka maji kwa ajili ya matumizi.
Bidhaa ya maji ni hadimu sana iwe vijijini na hata mjini katika Wilaya ya Newala. Pichani mwanamke akiwa na madumu manne akielekea kusaka maji kwa ajili ya matumizi. Kijana akiwajibika kuchota maji kwa ajili ya matumizi.
Mzigo nyuma ya baiskeli na mimi juu ya baiskeli…haki sawa kwa wote. Mwanamama akiwa amepakia mzigo wake kwenye baiskeli akielekea nyumbani. Kijijini Luchingu.
No comments:
Post a Comment