Jay Z na familia yake walikutana na kupata lunch pamoja katika mgahawa wa My Two Cents, Los Angeles wakiwa pamoja na Tina Knowles mama wa Beyonce, Kelly Rowland na mumewe Tim Witherspoon pia wakiwa na mtoto wao, Titan.
Hii ilikuwa ni mara ya kwanza Titan kuonekanaa sura yake hadharani tangu azaliwe, mara nyingi Kelly amekuwa akimficha mtoto wake kupigwa picha, hata picha ambazo amekuwa akipost hakuwahi kumuonyesha sura.
Hotel hiyo ilifungwa kwa muda ili kuuhudumia ugeni huo.
No comments:
Post a Comment