Friday 12 December 2014

RUSSELL SIMMONS AMSHIKA MKONO TENA FLAVIANA KUITAMBULISHA FLAVIANA MATATA FOUNDATION MAREKANI


tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo1_1280



Flaviana Matata Mwanamitindo wa kitanzania afanyae shughuli zake za Mitindo Nchini Marekani, Jana alijiunga na rafiki, mshauri, mwekezaji na hip- hop legend , Russell Simmons, Na kuitambulisha rasmi Flaviana Matata Foundation ‘FMF’ nchini Marekani katika hafla fupi ilofanyika jijini New York City kwenye mgahawa wa Beautique.
Nia ikiwa ni kusaidia suala la FMF katika – kuhamasisha , kuwawezesha na kuwasaidia watoto wa Tanzania katika masomo yao – wageni waliohudhulia waliburudishwa na cocktail; wengi wakiwa ni models Wilhelmina Models.
Kwa habari zaidi juu Flaviana Matata Foundation na jinsi ya kuchangia , bonyeza hapa.

tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo2_400

tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo3_400

tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo5_400

tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo6_400

tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo7_400

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!