Friday, 5 December 2014
PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA BUSTANI YA MAUA! PATA IDEA HUMU!
GARDEN NI UBUNIFU TU, UNAWEZA KUFANYA KITU KAMA HIKI,KUFANYA GARDEN YAKO KUWA YA KUVUTIA ZAIDI, BADALA YA MAKOPO YA MAUA KAMA WENGI TULIVYOZOWEA!
MINI GARDEN!
HII NI RAHISI SANA KAMA UNAVYOONA PICHA, MATAIRI YA GARI YAMEPAKWA RANGI MBALIMBALI HUU NI UBUNIFU PIA! UNAWEZA KUBUNI MBINU MBALIMBALI NA BUSTANI YAKO IKAWA YA KIPEKEE!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment