Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Productions aliyejipatia umaarufu kwa kuanzisha mashindano ya Bongo Star Search, Rita Paulsen anatarajia kuja na kipindi chake cha runinga. Kipindi hicho kinaitwa ‘Rita Paulsen Show’.
Rita ameshare habari hiyo njema kwenye akaunti yake ya Instagram na kwenye picha kuandika: The biggest revenge in this world is success#hard work.”
Hadi sasa bado haijafahamika kama Rita atarejea tena na shindano la BSS japo habari ya kuja na kipindi inaweza kuwa ni ishara kuwa ameamua kubadilisha mradi.
No comments:
Post a Comment