leo ni siku ya Ukimwi Duniani, ni siku muhimu kwetu kama Taifa.
Ukimwi bado ni gonjwa hatari lisilo na tiba, ingawa Serikali inajitahidi kupambana kwa kushirikina na mataifa na mashirika ya nje na ndani ya nchi lakini bado Ukimwi ni tishio.
Ni vyema wananchi wakaendelea kujikinga, hasa wanawake kwani takwimu zinaonyesha wao ndio waathirika wakubwa, lazima tuwe mstari wa mbele kuhakikisha hakuna maambukizi mapya.
No comments:
Post a Comment