Sunday 7 December 2014

HII INAIONAJE WADAU..............!!??


Wakazi wa Arumeru mkoani Arusha wamejipitishia sheria 
ambayo tayari imeanza kutumika ya kuwatandika viboko 70 
hadi 120 wasichana wanaovaa nusu uchi na
 wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi, wizi, matusi 
na ulevi nyakati za kazi.
Je, unawaunga mkono katika hilo na sheria hii ianze Tanzania nzima au unawapinga?

1 comment:

Anonymous said...

Haya tena uvunjwaji wa sheria unaanza nchini bunge liko wapi kupitisha vijisheria kama hivi?wengine watoto zetu age zao ndio hao hao wananaovaa suruali au kaptura chini ya matako,haya maonezi yanakuja nchini.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!