Wakazi wa Arumeru mkoani Arusha wamejipitishia sheria
ambayo tayari imeanza kutumika ya kuwatandika viboko 70
hadi 120 wasichana wanaovaa nusu uchi na
wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi, wizi, matusi
na ulevi nyakati za kazi.
Je, unawaunga mkono katika hilo na sheria hii ianze Tanzania nzima au unawapinga?
1 comment:
Haya tena uvunjwaji wa sheria unaanza nchini bunge liko wapi kupitisha vijisheria kama hivi?wengine watoto zetu age zao ndio hao hao wananaovaa suruali au kaptura chini ya matako,haya maonezi yanakuja nchini.
Post a Comment