Tuesday, 25 November 2014
USAJILI WA SEAMUS COLEMAN HATARINI!
Usajili wa Seamus Coleman kwenda Man Utd's kwa kiasi cha £25m hatarini
CHELSEA wapo tayari kutoa kiasi cha £ 25million kwa mchezaji anayewindwa na Manchester United na nyota wa Everton Seamus Coleman.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Jamhuri ya Ireland ni mmoja kati ya mabeki imara wa kulia kwenye Ligi Kuu ya ya Uingereza katika kushambulia , na kusaidia kubadilisha vijana wa Roberto Martinez kupigania kumaliza katika nafasi nne za juu.
Coleman alisajiliwa na Toffees kwa kitita cha £ 60,000 tu, kutoka Sligo Rovers, na sasa taya ameshafunga mabao matatu msimu huu kwa klabu ya Merseyside.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment