Mmiliki wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo’ Diamond Platnumz ameipiku video ya wakali wa Nigeria P Square baada ya kupata views nyingi ndani ya siku nne.
Video ya P Square ‘Shekini’ iliyowekwa youtube Nov 17 ina views 286,165 huku Diamond ambaye video yake ‘Nitampata Wapi’ iliyoweka Nov 20 ina views 354,910.
CRD:DJARO ARUNGU BLOG
No comments:
Post a Comment