skip to main |
skip to sidebar
PINDA AHUDHURIA SHEREHE ZA KUMWEKA WAKFU ASKOFU WA ANGLICAN DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani katika ibada ya kumweka wakfu Askofu huyo iliyofanyika kwenye kanisa kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na washiriki wa ibada ya kumweka wakfu, Askofu wa Da yosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani kwenye kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Baadhi ya washiriki wa Ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye ibada hiyo iliyofanyika kwenye kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment