Muonekano wa Helikopta eneo la Gonga la Mboto jijini Dar.
Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya Helikopta kuanguka.
Helikopta imeanguka leo eneo la Gongo la Mboto, Moshi Bar jijini Dar, kuna watu wanadaiwa kufariki dunia lakini polisi hawajatoa taarifa rasmi juu ya tukio hili
No comments:
Post a Comment