Mhandisi Julius Isoka ambaye ni Mhandisi Mshauri wa Barabara ya Tunduma- Sumbawanga kutoka kampuni ya Nicholous Odweyer akiwaelezea timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambao wanatembelea barabara hiyo jinsi ambavyo daraja linasukwa kutoka chini mpaka juu. Barabara hii inajengwa kwa ufadhili wa Watu wa Marekani chini ya Mradi waMilleniam Challenge (MCC)Daraja la Kashahanzi moja ya daraja kubwa na linalojengwa kwa umahiri mkubwa katika barabara ya Tunduma –Sumbawanga.
PICHA ZOTE NA JOYCE MKINGA
No comments:
Post a Comment