Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel’s akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel’s kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack’s kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
Mijihela ikiendelea kumiminika kwa Sam Mapenzi.
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na kinywaji hicho kikali cha Mr. Jack’s (Jack Daniel’s) ambacho hakina Hang Over na harufu mbaya mdomoni na kukufanya ujisikie mwenye furaha wakati wote.
Kaunta ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s ikisimamiwa na Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s.
Cheers to you Mr. Photographer…..wageni wakiendelea kupata SHOT za Mr. Jack’s.
Baadhi ya brand za Mr.Jacks’ zenye ujazo tofauti zikiwa zimepambwa kwenye kaunta maalum.
Mwanamanyoya akishow love na Mr.Jack’s.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akishangaa kuona brand mbalimbali zakuvutia za Mr. Jack’s.
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Entertainment Dr. Sebastian Ndege(mwenye kofia) akiwapa tano baadhi ya mashabiki wa Skylight Band kwenye kaunta ya Mr.Jack’s iliyokuwa inatoa fursa kwa mashabiki wa band hiyo kupata SHOT za bure za Jack Daniel’s.
Team Wanamanyoya wakipata Ukodak na tabasamu bashasha baada ya kupata SHOT za Mr.Jack’s anayeonyesha upendo kwa wadau wa kinywaji hicho.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akipata ukodak kwenye sehemu maalum yakumwandikia ujumbe wa kumtakia maisha mema Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s anayezaliwa mwezi huu wa tisa.
Skylight Band inapendwa pia na raia wa kigeni kama wanavyoonekana kwa mbali wakiwa wamechizika na burudani.
Mamia ya wakazi wa jiji la Dar waliofurika kwenye usiku maalum wa Mr. Jack’s uliopambwa na Skylight Band.
What would I do without your smart mouth? Drawing me in, and you kicking me out ..You’ve got my head spinning, no kidding, I can’t pin you down..What’s going on in that beautiful mind…Sam Mapenzi akiimba wimbo wa All of Me ulioimbwa na John Legend uliokongo moyo wa Super star Wema Sepetu aliyeamua kula pozi jukwaani huku Sam Mapenzi akipiga mistari ya wimbo huo.
Oooh you’ve touched my heart Sam…..anavyoonekana kusema super star huyo.
My head’s under water..But I’m breathing fine..You’re crazy and I’m out of my mind..’Cause all of me…Loves all of you
Love your curves and all your edges…All your perfect imperfections…Give your all to me….I’ll give my all to you
Love your curves and all your edges…All your perfect imperfections…Give your all to me….I’ll give my all to you
Super star Wema Sepetu akianza kumtunza Sam Mapenzi wa Skylight Band.
Mdau naye alitoa dola 200
No comments:
Post a Comment