Monday, 15 September 2014

ABDULLA MRISHO MWANASPOTI WA SIMBA MIAKA YA 70, ANGALIA MAISHA ANAYOISHI SASA!

 



Mnamkumbuka Abullah Mrisho aliyechezea timu ya Simba Ssports mwaka 1977 hadi 1979?



Alizaliwa mwaka 1954 mkoa wa Morogoro, Kilosa. Haya ndiyo maisha yake anayoishi na hapo ndipo nyumbani kwake. Mvua ikinyesha ni balaa, jua nalo inakuwa hivyo hivyo.

Wanasimba chukueni huu kama mfano na mjiandae maisha ya baadae.


 



VIA-JMF

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal18:54





wachezaji wa leo wangelijifunza toka kwa huyu bwana,timu kubwa zitakutumia tuu wakati bado wanahitaji service yako siku mambo yakikugeukia kimaisha hawakujui wala kukufahamu,husaidiwi kulipa fadhila zako.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!