Bw. Magnus Minja kutoka mashirika ya umoja wa mataifa nchini UN na ILO akizungumza na vijana waliotembelea katika banda la mashirika hayo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
Watu mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa UN walipotembelea kwenye banda hilo katika maonyesho ya kimataifa ya TANTRADE yanayoendelea kwenye Viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment