Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 1.7.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na baadhi ya wageni waliofuatana na Malkia Nomsa Matsebula mara baada ya mgeni huyo kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa waMwalimu Julius Nyerere tarehe 1.7.2014jMke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na mgeni wake Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland wakati wakielekea kupanda magari kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 1.7.2014.
Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland akipokea ua mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.
No comments:
Post a Comment