Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akisalimiana na Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino
alipowasili Ikulu mjini Zanzibar leo akifuatana na Mkewe Princess
Akishino na baadae kufanya mazungumzo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akiongozana na na Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino
na Mkewe Princess Akishino mara walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akimuonesha kitu Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino
baada ya mazungumzo yao alipotembelea Ikulu Mjini Zanzibar leo na
Mkewe Princess Akishino.
No comments:
Post a Comment