Rais
Dkt. Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi
Mteule wa Malaysia nchini Tanzania Mheshimiwa Ismail Salem. Baada ya
kupokea rasmi hati hizo Rais Dkt. Kikwete alifanya mazungumzo na balozi
huyo huko Ikulu tarehe 4.7.2014.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa
China na ujumbe wake walipomtembelea Ikulu tarehe 4.7.2014. Mazungumzo
hayo yalihudhuriwa pia na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Dkt. Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange. PICHA NA JOHN LUKUWI
Rais
Dkt. Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi
Mteule wa Cote d’ Ivoire hapa nchini Mheshimiwa Georges Aboua na baadaye
kufanya mazungumzo naye huko Ikulu Ikulu tarehe 4.7.2014.
No comments:
Post a Comment