Mkali
wa leo: Beki wa Ujerumani, Mats Hummels akikimbia kushangilia baada ya
kuifungia bao pekee timu yake katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la
Dunia Uwanja wa Maracana, Brazil dhidi ya Ufaransa na kuiwezesha kutinga
Nusu Fainali ya michuano hiyo.

No comments:
Post a Comment