Msanii mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule 'Prof Jay' jana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha staa Diamond Platnumz inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikichukuliwa pale Sinza Makaburini ilipo Mahakama. Video imesimamiwa wa Adam Juma kutoka Next Level.
Prof Jay akiwa na Prodyuza, P-Funk Majani,
Taswira mbalimbali za mastaa waliomo katika video hiyo.
Jini Kabula & DJ Choka.
Credit: Dj Choka
No comments:
Post a Comment