Pages

Saturday, 26 July 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUWAKUMBUKA MASHUJAA YAFANA MBEYA







Wakuu wa wilaya








Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiweka Ngao na Mkuki kwenye mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa wakati wa maadhimisho ya siku ya Mashujaa leo 

Mkuu wa kikosi cha 44KJ Mbalizi Luten Kanl Malatila akiweka sime kuwakumbuka mashujaa

Meya wa Jiji la Mbeya Atanas Kapunga akiweka upinde na mshale


Mmoja wa wazee waliopigana Vita Kuu Ernest Waya(92)akiwa ameshikiliwa kwenda kuweka Shoka kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa


Chifu wa mkoa wa Mbeya Roketi Mwashinga akiweka shada la maua

Viongozi wa Madhehebu ya dini mbalimbali walitoa sala zao za kuwakumbuka mashujaa hao





Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na Mzee Waya

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na chifu wa mkoa wa Mbeya Chifu Mwashinga



Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwsalimia wananchi wa mkoa wa mbeya waliohudhuria tukio hilo la kuwakumbuka mashujaa








Na Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment