Pages

Sunday, 20 July 2014

KAKA WA MICHAEL JACKSON KUTOA ALBAMU NA P-SQUARE

222
Michael Jackson alianza kuimba na kupata umaarufu akiwa na bendi ya Jackson 5 ambayo iliundwa pamoja na ndugu zake. Mmoja kati ya ndugu hao ni Jermaine Jackson ambaye hivi sasa yupo Nigeria kwa mualiko wa P Square.


Jarmaine anatarajiwa kufanya kazi pamoja na P Square kuandaa album yao ya sita ambayo itakuwa na wimbo kama Testimony na nyingine. Jermaine anatarajiwa kushiriki kwenye production hadi kuimba kwenye baadhi ya nyimbo  za P Square ambazo zitakuwa kwenye hiyo album.
Peter wa P Square alipost picha wakiwa ndani ya Square Ville wakiongea na Jarmaine ambaye tayari ameshafika Nigeria. Album hiyo ya sita hadi sasa P Square wameshirikiana na wasanii mbalimbali akiwemo T.I
2
1

CRD: MILLARD AYO

No comments:

Post a Comment