Habari za kushangaza sasa hivi kutokea Mayfair Plazza karibu sana na Shoppers Plazza ni kuvamiwa kwa basi la Magereza linalotumika kusafirish mahabusu kwenda Mahakamani na kurudi Rumande limevamiwa muda mchache uliopita na watu wasiojulikana na kusababisha Mahabusu wote waliokuwemo ndani ya basi hilo kutoroka. ......Stay tuned kwa habari zaidi!! |
No comments:
Post a Comment