Rais wa Burundi, Piere Nkurunzinza, akiwasili Uwanja wa Prince Louis Rwegasira, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52, ya Uhuru wa nchini hiyo zilizofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, Bujumbura Burundi.
Rais wa Burundi, Piere Nkurunzinza, akikagua gwaride....
Askari wakishuka kwa Parachuti uwanjani hapo......
Vijana wa Michezo wakipita kwa maandamano...
Walemavu wakipita mbele ya jukwaa kuu kwa maandamano....
Maandamano.....
Baadhi ya watangazaji wakiwajibika wakati wa sherehe hizo...
Askari wakipita mbele ya jukwaa kuu kwa mwendo wa haraka....
Askari wakishuka katika gari likiwa katika mwendo kasi.....
Burudani kutoka kwa wasanii wa nchi hiyo......
No comments:
Post a Comment