Thursday, 26 June 2014

SERIKALI IINGILIE KATI JUU YA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI,WANAUA WENGINE HAWANA HATIA KAMA HUYU SASA MWANACHUO WA RUCO ACHOMWA MOTO AKIDHANIWA NI MWIZI.

Imagine guys, kuna this guy mtanashati anasoma chuo kikuu cha Ruaha a.k.a RUCO huku Iringa. Alikuwa anasomea sheria mwaka wa nne.Taarifa za awali zinasema aliitiwa mwizi kumbe sio, akachomwa moto kama ujuavyo sheria mkononi kwa nchi hii..
Ameungua sana ila kwa bahati nzuri hajafariki, hivi ndivyo alivyo....

1 comment:

Anonymous said...

Emmanuel Amose03:25


1
Reply

Jamani hivi tuta songa mbele kweli?

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!